ASANTE KWA KUPAKUA PROGRAMU

PROGRAMU YA SPORTPESA

Kabla ya kuweka programu kwenye simu yako, kumbuka kwenda kwenye "Settings" na kuruhusu kuweka programu kutoka kwenye "Vyanzo visivyojulikana":

Settings › Programu › Vyanzo visivyojulikana

Gusa popote kufunga ujumbe huu


Tunawasilisha rasmi Programu ya Sportpesa

Pata njia salama zaidi ya kuweka bet zako ukiwa unaokoa kifurushi chako cha data. Experience the most secure way to place your bets while saving on your data bundle.

Pakua bure kwa Android 4.1.1 au zaidi

‹ Rudi SportPesa

Uzoefu mpya wa kucheza

Programu ya Android ya Sportpesa ni njia salama kabisa ya kuweka bet zako kwa njia ya mtandao. Pakua mara moja na uokoe data wakati unatumia Sportpesa.

Cheza popote

Popote ulipo, pata taarifa mpya za mechi kwa kutumia programu ya Sportpesa. Haijalishi wakati au mahali, sasa unauwezo wa kuweka bet kwenye timu zako pendwa moja kwa moja kupitia simu yako.

Cheza kwa ajili ya Jackpot

Kuweka bet za JackPot kupitia programu ni rahisi kuliko ilivyokuwa kabla. Cheza moja kwa moja kupitia simu yako ya Android.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


Je, programu ya SportPesa ni bura kupakua na kutumia?

Kabisa. Itakugharimu shilingi 0 kupakua programu kutoka kwenye tovuti, unachotakiwa kuwa nacho ni kujiunga na intaneti.

Je, naweza kuingia kutumia taarifa zangu za Sportpesa zilizopo?

Ndiyo, unachohitaji ni jina la mtumiaji lililopo (namba ya simu) na neno la siri la kutumia kwenye tovuti.

Nawezaje kupakua programu ya Sportpesa?

Bofya kitufe cha pakua ili uanze kupakua programu ya Sportpesa.

Pia unaweza kupakua programu ya Sportpesa kupitia Code ya QR

Yapi manufaa ya kutumia programu ya Sportpesa?

Programu hii ni rafiki kwa matumizi ya internet na kifurushi, hivyo kuweka kiganjani mwako nafasi ya kucheza zaidi kwa fedha kidogo. Ina kasi, nafuu na daima ipo nawe kila mahali, wakati wowote.


Unahitaji msaada?
Wasiliana nasi au tazama Muongozo wa haraka kwa Mtumiaji